SANCHEZ OUT, ZAHA IN

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger, ameonyesha nia ya kuhitaji saini ya winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha, wakati huu wa usajili wa dirisha dogo. Wenger anaamini Zaha (25), ndiye mrithi sahihi wa Alexis Sanchez (29), anayeripotiwa kutaka kuitema klabu hiyo. The post SANCHEZ OUT, ZAHA IN appeared first on Gazeti la Dimba....

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News