SANCHEZ NJIA NYEUPEE MAN UTD

LONDON, England SAFARI ya straika wa Arsenal, Alexis Sanchez ya kwenda kujiunga na Man Utd njia inaonekana kuwa nyeupe, baada ya kudaiwa kufikia makubaliano ya kwenda kukipiga kwenye klabu hiyo ya Old Trafford. Hatua hiyo imekuja pia baada ya waliokuwa washindani wao, Man City kuamua kujitoa katika kinyang’anyiro hicho na hivyo kuwaacha mashetani hao wekundu wakiongoza katika mbio hizo. Sanchez atakuwa amemaliza mkataba wake Emirates Stadium ifikapo mwisho wa msimu huu na Arsenal wanaaminika kuwa tayari kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile mwezi huu, hata kama ni kumuuza kwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News