Sanchez amehukumiwa miezi 16 jela

Leo February 9, 2018 nakusogezea stori kutoka kwa Staa mpya wa klabu  ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa February 8, 2018 , Sanchez anadaiwa kukwepa kulipa kodi wakati alipokuwa nchini Uhispania ambapo mamlaka nchini humo zinasema anadaiwa kiasi cha pauni laki tisa. […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News