Samatta kuwanoa vijana nchini, asaini mkataba

Nahodha wa Taifa Stars na mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubeligiji, Mbwana Samatta ameingia mkataba maalumu na Benki ya DTB na pia ataendesha kliniki ya soka kwa mamia ya vijana zoezi lililofanyika kwenye viwanja vya Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Dar es Salaam....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News