Samatta aisaidia KRC Genk kufika Fainali

Usiku wa February 7, 2018 mshambuliaji wa kimataifa kutoka Tanzania anayecheza Soka nchini Ubelgiji katika Klabu ya KRC Genk Mbwana Samatta akiwa na klabu hiyo usiku wa leo wamefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Ubelgiji baada ya kushinda mchezo wa nusu fainali dhidi ya Kortrijk. Katika mchezo huo Samatta amecheza dakika zote 90 na kuisaidia […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News