Salamu za nguvu za President Magufuli kwa Mwaka Mpya

Nikusogee salamu za nguvu za sikukuu ya mwaka mpaya kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli, amewatakia watanzania wote heri ya mwaka mpya 2018, huku akiwataka kuendelea kuchapa kazi.  President JPM kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka picha yenye ujumbe huo wa mwaka mpya, na kuwaomba Watanzania kudumisha amani, […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News