SAFARI YA LISSU KWENDA ULAYA YAIVA

Na ASHA BANI -DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, anaendelea vizuri kutokana na kumaliza awamu zote za upasuaji. Mbowe alisema hayo jana wakati akijibu maswali kwa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari waliotaka kufahamu maendeleo ya Lissu kwa sasa. Mbowe alisema kuwa amemaliza awamu zote za upasuaji katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya na ameanza mazoezi ya viungo. “Kubwa tunamshukuru Mungu Lissu ameweza kukaa mwenyewe na sasa amemaliza awamu zote za matibabu na Jumamosi ya Junuari 6,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News