Sababu ya SUGU kukosa dhamana na kupelekwa rumande leo

Mchana wa January 16, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Jijini Mbeya imeamuru Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Emmanuel Masonga wapelekwe rumande mpaka January 19, 2018 kwa kesi ya uchochezi. Hii ni baada ya Wakili wa Serikali Joseph Pande kuiomba Mahakama kutowapa dhamana kwasababu za […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News