SABABU WANAWAKE KUATHIRIKA ZAIDI MAGONJWA YA FIGO, ZATAJWA

Na Veronica Romwald – Dar es Salaam Hali ya ujauzito na kitendo cha kuvuja damu nyingi wakati wa kujifungua zimetajwa kuwa sababu zinazochangia wanawake kuugua magonjwa ya figo. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile amesema hayo leo Machi 10, kwenye Maadhimisho ya Siku ya Figo Duniani. “Magonjwa ya kisukari na shinikizo la damu nayo huchangia zaidi magonjwa haya, ikiwamo ulaji mbovu na kutokufanya mazoezi,” amesema. Amesema ili kuwezesha wananchi kupata huduma ya kusafisha nchini serikali imeongeza vituo na kufikia jumla ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 10 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News