SABABU  YA NETANYAHU KUZURU KENYA MARA YA PILI

JOSEPH HIZA, DAR ES SALAAM KWA mara ya tatu ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amezuru barani Afrika, mara mbili akifanya nchini Kenya. Mwelekeo huo mpya kwa Taifa hilo la Mashariki ya Kati umeibua maswali miongoni mwa wachambuzi wa mambo baadhi wakijiuliza maslahi anayotafuta  Afrika na hasa Kenya. Awali sera za Israel zilikuwa zikilipuuza Bara hili, mikakati maalumu ikielekezwa badala yake Asia, Ulaya na Marekani ili kupata uungwaji mkono katika mgogoro wake wa kihistoria na Palestina pamoja na Waarabu eneo hilo. Lakini...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News