Rwanda inasema imeboresha haki za binadamu nchini humo

Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba imechukua hatua ya kuboresha haki za binadamu kwa kutekeleza makubaliano ya kimataifa ya Geneva kuhusu haki za binadamu. Nchi hiyo inatangaza hatua hii wakati kukiwepo ukosoaji wa kimataifa kuhusu ukosefu wa uhuru wa kutoa maoni nchini humo. Akizungumza mjini Kigali waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wa Rwanda, Johnston Busingye alisema katika mikataba 50 ya Geneva kuhusu kuheshimu haki za bidamu nchi ya Rwanda imekwishatekeleza mikataba minane kati......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News