Rwanda imetoa msimamo kuhusu Nabii aliyesema ‘wanawake ni chanzo cha maovu’

Wiki iliyopita Tume ya Vyombo vya Habari Rwanda (RMC) ilisema wiki hii itafanyia kazi madai kuhusu maoni yaliyotolewa dhidi ya wanawake na Mhubiri kwenye kituo kimoja cha redio nchini humo. Malalamiko hayo yalitolewa na kikundi cha wanawake wanaharakati wa masuala ya wanawake waitwao Pro – Femmes Twese Hamwe. Wanawake hao wamemshtaki Mhubiri huyo kwa kusema ‘wanawake […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News