Russia yaanza kwa kishindo Kombe la Dunia

Russia wenyeji wa Kombe la Dunia Russia 2018 wameifunga Saudi Arabia mabao 5 - 0 katika mchezo wa ufunguzi wa kundi A, Alhamisi. Rais wa Russia Vladmir Putin aliongoza mashabiki wa Russia katika mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, uwanja wenye uwezo wa kuchukuwa watu elfu 80. Timu ya Russia imeanza vizuri michuano hiyo kwa sasa kuongoza kwa muda kundi A ikiwa na pointi 3. Kwa sasa inasubiriwa mechi ya Ijumaa ya kundi hilo la A kati ya Misri ya Mohamed Salah......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Thursday, 14 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News