ROSE TWEVE: MWANAMKE SIMAMA

NA RAYMOND MINJA IRINGA “NAAMINI hakuna  mtu anaeweza kumuinua  mwanamke kiuchumi bila kuvaa kiatu chake ili kuzijua athari zake. “Wengi wana dhana kuwa mwanamke hawezi kusimama bila ya mwanamume, hii ni dhana potofu na ni lazima tuiondoe. ” Hiyo ni kauli ya mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Rose Tweve kupitia Chama Cha Mapinduzi( CCM) kutoka wilaya ya Mufindi. Kwa upande wake Rose anaamini mwanamke ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi wa familia na Taifa kwa ujumla akiamua kuthubutu . Ndoto kubwa ya mbunge huyo ni kumkomboa mwanamke wa...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News