RONALDO AKITOKA MADRID AENDE WAPI?

MADRID, Hispania HUENDA timu mbalimbali zenye uwezo duniani zikajitosa kumwania Cristiano Ronaldo baada ya kuitishia klabu yake ya Real Madrid kwamba anataka kuondoka. Staa huyo anadaiwa kutokuwa na furaha kufuatia kashfa inayomkabili ya kukwepa kulipa kodi. Ni kashfa ambayo Ronaldo mwenyewe anaona inamdhalilisha. Je, ni wapi atakapotua Mreno huyo? Mtandao wa Daily Mail umeorodhesha timu zilizo na uwezo wa kumnasa.   Manchester United Inakumbukwa kuwa uhusiano baina ya kocha wa United, Jose Mourinho na Ronaldo haukuwa mzuri pale Madrid hadi Mourinho anaondoka na kwenda Chelsea. Ingawa wawili hao walidai kuwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News