Roma, Stamina na Madee wametajwa na Meya kuikaribisha timu ya KMC

Baada ya club ya KMC iliyochini ya Manispaa ya Kinondoni kufanikiwa kupanda Ligi Kuu Tanzania bara kutoka daraja la kwanza, meya wa Kinondoni Benjamin Sitta ametangaza kuwa siku ya Jumamosi watafanya sherehe ya kuipongezea timu hiyo kwa kupanda Ligi Kuu na kuikabidhi kwa wananchi. Meya Sitta ametangaza kuwa timu hiyo itatembea kuanzia ofisi za manispaa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News