Ripoti uchunguzi kifo cha Akwilina yazua tafrani Muhimbili

Ndugu wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, jana walisusia kwa muda kuchukua mwili wa binti huyo wakishinikiza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kueleza sababu za kifo chake....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 19 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News