Rekodi hazidanganyi aisee, Mbappe ni zaidi ya Cr7 na Lionel Messi

Achilia mbali kama ndiye mchezaji bora chipukizi wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2018 lakini akiwa na umri chini ya miaka 20 tayari Kylian Mbappe ameshabeba kombe hilo. Mbappe amebeba kombe ambalo watawala wawili wa soka kwa takribani miaka 9 sasa Cristiano Ronaldo na mwenzake Lionel Messi hawajawahi kulibeba. Takwimu zinaonesha pamoja na Messi na Ronaldo kuwa wafalme wa soka la ulimwengu huu lakini kati ya hao wawili hakuna aliyemzidi Mbappe wakiwa na umri kama alionao kwa sasa. Akiwa na miaka 19 tu Kylian amwshafunga jumla ya mabao 52...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News