RCO Mbeya amtetea Sugu, Mkuu wa Mkoa aomba udhuru

Kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu‘ leo February 9, 2018  imeendelea kwa mashahidi wawili upande wa utetezi kutoa ushahidi wao ambao ni Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mbeya Modestus Chambu na Mke wa Mshtakiwa wa pili Grace Malya. Mbele ya Hakimu Mfawidhi Michael Mteite Mkuu wa Upelelezi amesema aliwaagiza ASP William Nyamakomage […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News