RC MWANZA! Kaacha tena ofisi kuwafuata Wananchi, unamweleza changamoto zako

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella leo September 13, 2017 ametembelea katika Wilaya ya Ilemela ambapo kazi ilikuwa moja tu kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika Wilaya hiyo kwenye Ofisi za Halmashauri ya Manispaa Ilemela. Hatua ya John Mongella kutembelea Ilemela ni kutimiza ahadi ambayo aliitoa wiki iliyopita kuwa September 13 ataitumia kuwasiliza […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News