Rc Geita Atembelea Miradi ya Huduma za Jamii, Ahimiza Ukamilishwaji Wake kwa Wakati Mkuu wa Mkoa wa Geita

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mandisi Robert Gabriel, akiendelea na ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo kujionea utekelezaji wake katika kufanikisha umaliziaji wake. Mhe. Mandisi Robert Gabriel ameendelea kufuatilia hatua za utekelezaji wa Miradi mbalimbali Mkoani Geita kwa kufanya ziara na kuona miradi inayotekelezwa kwa fedha za Huduma kwa Jamii (CSR) kutoka Mgodi wa Dhahabu Geita (GGM).Ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Mzunguko wa Kisasa (Round About) inayojengwa Halmashauri ya Mji wa Geita. Awapongeza mafundi, ashauri ujenzi uendelee siku zote ili kazi hiyo ikamilike kwa wakati.Mhe. Mandisi Gabriel amesema na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News