RC aagiza polisi kukamatwa aliyeshinda zabuni

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu, Salum Kijuu amemuagiza kamanda wa polisi mkoani humo kumsaka na kumkamata mkandarasi wa kampuni ya Mecco aliyeshinda zabuni ya Sh6 bilioni za ujenzi wa barabara za lami katika Manispaa ya Bukoba na baadaye kugoma kujitokeza kusaini mkataba....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News