Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Lulu Msham Abdallah, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar leo.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hafla hiyo, ilifanyika Ikulu mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali ambapo viongozi walioapishwa ni Lulu Mshamu Abdalla kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Vijana,...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News