Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia)  akisalimiana na  Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao.08 Machi 2018.Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na  Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao  Peng, wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatanan nao.Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akizungumza na Ujumbe wa   Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo ukiongozwa na  Makamo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News