Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Ujenzi ya China Civil

UONGOZI wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi ya China (CRCC) kupitia Tawi la Kampuni yake ya Uhandisi wa Ujenzi ya nchini humo (CCECC) imeahidi kujenga barabara ya Bububu-Mahonda-Mkokotoni kwa wakati uliopangwa na kwa ubora zaidi ili kuendeleza sifa ya kuwa Kampuni yenye ubora duniani.Rais wa Kampuni hiyo Zhuang Shangbiao aliyasema hayo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu mjini Zanzibar.Katika maelezo yake, kiongozi huyo ambaye amefuatana na Rais wa Kampuni ya (CCECC) Zhao Dianlong alimuhakikishia Rais Dk....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News