Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia Cha India.

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE  Zanzibar                                                                                                             14.11.2017RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa utekelezaji wa hati ya makubaliano (MoU) kati ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na Chuo Kikuu cha Teknolojia (VIT) cha nchini India ni muendelezo wa uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Zanzibar na India.Dk. Shein aliyasema hayo leo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News