Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Amefanya Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu na Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar.

Kufuatia mabadiliko ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika hivi karibuni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi na kuwabadilsha wadhifa baadhi ya watendaji wakuu katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:1. OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS   Bwana Shaaban Seif Mohamed ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu         wa Pili wa Rais.2. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALIDkt. Idrissa Muslim Hija ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu katika Wizara...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 12 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News