Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika katika Iftar na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ikulu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewahimiza wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote kwa jumla kuyatumia mafunzo ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kuendeleza umoja, upendo na mshikamano walionao.Akitoa neno la shukurani kwa niaba ya Rais, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Gavu aliyasema hayo katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais kwa ajili ya wananchi pamoja na viongozi mbali mbali wa dini, vyama vya siasa na serikali, iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.Makamo wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News