Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerwkwe Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jengo Jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Mahkama ya Wilaya Mwanakwerekwe kutatoa fursa kwa Mahakimu watakaoitumia Mahkama hiyo kufanya kazi kwa bidii, weledi sambamba na kufuata maadili ya kazi zao. Rais Dk. Shein ameyasema hayo leo mara baada ya kulizindua jengo la Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe, mjini Unguja baada ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News