Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein, Ametowa Wito Kwa Wafanyabiashara Zanzibar Watumie Vema Azma ya Serikali ya Kuwapunguzia Ushuru wa Bidhaa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wafanyabiashara wa jumla na reja reja waitumie vyema azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuwapunguzia ushuru wa bidhaa za chakula katika mwezi wa Ramadhani, ili wananchi wapate bidhaa hizo kwa bei nafuu.Alhaj Dk. Shein aliyasema hayo katika risala maalum aliyoitoa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari katika kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu wa 1439 Hijria sawa na mwaka 2018 Miladia.Katika risala yake hiyo, Alhaj Dk. Shein aliendelea kuwakumbusha wafanyabiashara kujitahidi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News