Rais wa Zanzibar Dk. Shein Aipongeza Kampuni ya ZTE Kuunga Mkono Azma ya SMZ.

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Kampuni ya Kimataifa ya Mitandao ya Kisasa ya Mawasiliano ya ZTE ya China  kwa kuunga mkono azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kutekeleza Mradi wa Serikali Mtandao (e-Government) ili kwenda sambamba na mabadiliko ya dunia na kuimarisha ufanisi wa utendaji Serikalini.Dk. Shein aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar wakati alipokuwa na mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya Mitandao ya Kisasa ya Mawasiliano ya ZTE kutoka nchini China ukiongozwa na Makamo Mkuu wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News