Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,Azungumza na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohamed Shein wa kwanza kushoto akizungumza na viongozi wa UVCCM kushoto  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka na Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Zanzibar Ndg.Abdulhafar Idrissa Juma  Ikulu mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein pamoja  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Katibu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News