Rais wa TFF ametangaza ujio wa Rais wa FIFA Tanzania kwa mara ya kwanza

Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia leo Jumanne ya January 2 2018 amekutana na waandishi wa habari na kutangaza ujio wa Rais wa Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA Gianni Infantino nchini Tanzania. Wallace Karia ametangaza kuwa Infantino atakuja Tanzania na viongozi wengine wa soka kutoka nchi 19 duniani kwa ajili ya kikao cha […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News