Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mgeni Wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni kabla ya kupita kwenye Gadi ya Heshma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya siku...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News