Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli Akutana na Wageni Mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi aliyeambatana na  Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi wa pili kutoka (kushoto) aliyeambatana na  Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi Zuhura Bundala...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News