Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli na Makomandoo wa JWTZ.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi  ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa  Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Februari 6, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo. Picha na IKULU...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News