Rais Trump Sasa Aitambua Yerusalem ni Mji Mkuu wa Israel

Akiongea katika Ikulu ya Marekani, Rais Trump ameutambua mji wa Yerusalem kama mji mkuu wa Israel, maamuzi ya kihistoria yanayopindua sera za miaka mingi za Marekani. Rais Donald Trump ametangaza kuwa Ubalozi wa Marekani utahamishwa kutoka katika eneo la sasa la Tel Aviv kwenda Yerusalem. Amesema kuwa uamuzi huu haulengi kujiondoa kwa Marekani katika juhudi zake za kuleta amani katika eneo hilo la mashariki ya kati. Trump amesema yuko tayari kutafuta suluhu katika mgogoro wa miaka mingi kati ya Israel na Palestina ikiwa pande zote mbili zitataka. Awali maofisa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News