Rais Magufuli awashangaa wabunge wa upinzani wanaohamia CCM

HUKU vikao cha Chama cha Mapinduzi (CCM) vikiendelea, Mwenyekiti wa chama hicho, John Magufuli, ameoneshwa kushtuka kwa wimbi la wapinzani wanaotoka katika vyama vya upinzania na kuhamia CCM, anaandika Dany Tibason. Akizungumza na wajumbe wa mkutano wa CCM Magufuli amesema kuwa kuna kila sababu ya kuwatafakari wale ambao wanataka kuhamia CCM kwa madai kuwa uenda ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 18 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News