Rais Magufuli Avunja Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa NHC na Kuvunja Bodi ya NHC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018. Pia Mhe. Rais Magufuli ameivunja Bodi ya NHC kuanzia leo. Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar es Salaam 21 Machi, 2018...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 20 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News