Rais Magufuli ampigia magoti Kinana

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli, amemuomba katibu mkuu wa chama hicho, Abdulrahaman Kinana, kuendelea kuhudumu katika nafasi hiyo. Anaripoti Saed Kubenea….(endelea). Taarifa kutoka Ikulu jijini Dar es Salaam na makao makuu ya chama hicho, Lumumba zinasema, hatua ya Magufuli kumuomba Kinana kuendelea na wadhifa wake inatokana na “kushindwa” kumpata mtu ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News