RAIS MAGUFULI AMLILIA DK. KABOROU

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa aliyekuwa Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kigoma Dk. Amani Walid Kaburu, kilichotokea usiku wa kuamkia leo Machi 7 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Gerson Msigwa, Rais Magufuli pia amesema amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Dk. Kaburu atakumbukwa kwa mchango wake alipokuwa kiongozi katika nyadhifa mbalimbali ndani ya CCM, Mbunge wa Kigoma Mjini na Mbunge wa Bunge...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News