Rais Magufuli amesikitishwa na AU kutekeleza sera ya kupunguza gharama

Rais Dr. John Magufuli amewahakikishia Mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliopo nchini kuwa katika mwaka 2018 Serikali yake itaendeleza juhudi za kuboresha mazingira ya uwekezaji ikiwemo mapambano dhidi ya rushwa, kuboresha miundombinu ya barabara, reli na usafiri wa anga, kuongeza uzalishaji wa umeme. Rais Magufuli amesema hayo leo February 9, 2018 katika hafla […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News