Rais Magufuli amefanya uteuzi upya wa Wenyeviti wa Bodi

Rais John Magufuli leo December 6, 2017 amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi 6 za taasisi za Serikali baada ya wenyeviti waliokuwepo kumaliza muda wao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Rais amemteua Monica Ngenzi Mbega kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mazao Mchanganyiko huku Prof. Egid Beatus Mubofu […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News