Rais Magufuli akutana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia Bi. Bella Bird Ikulu Dsm

News Category: Tanzania Mwakilishi wa Benki ya Dunia katika nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bi. Bella Bird amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwa benki hiyo imejipanga kuendelea kutoa mikopo nafuu kwa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini ili kukuza uchumi na kupunguza umasikini. Bi. Bella Bird ametoa kauli hiyo leo tarehe 04 Desemba, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam na kubainisha maeneo ya kipaumbele kuwa ni miundombinu hususani barabara na reli, kuongeza uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme, Teknolojia ya...

read more...

Share |

Published By: Focus Media - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News