Rais Magufuli aagiza Wizara kutimiza maombi ya Mkuu wa JWTZ

Leo February 6, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amezindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani. Kituo hicho kimejengwa kwa msaada kutoka Jeshi la Ukombozi la Watu wa China kwa gharama ya Shilingi Bilioni 67.87 na kitatumika kutoa mafunzo ya kijeshi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News