RAIS MADRID AMPA RONALDO BALLON D’OR

MADRID, Hispania RAIS wa timu ya Real Madrid, Florentino Perez, ametangaza kwamba staa wao, Cristiano Ronaldo, ndiye atakayenyakua tuzo ya mchezaji bora wa dunia, Ballon d’Or  na si hasimu wake,  Lionel Messi. Mreno huyo ambaye mwezi uliopita alifanikiwa kutwaa tuzo hiyo kwa upande wa wanaume, pia anapewa nafasi ya kukabidhiwa mzigo huo baada ya mwaka huu kuiwezesha Real Madrid kutwaa ubingwa wa La Liga na wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Lakini kuna tetesi zinazodai straika wa  Barcelona, Messi, ndiye atakayetangazwa kuwa mshindi kesho kutwa, baada ya jarida moja nchini Ufaransa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News