RAIS DKT MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MRISHO GAMBO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sanini kwenye kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni mama mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli  leo Aprili 18, 2018Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpa pole Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe Marehemu Rehema Paul Mumbuli...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 18 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News