RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45  iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45  iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 10 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News