Rais Dk Shein awaapisha viongozi aliowateua karibuni

  STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar                                 07.12.2017RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto (anaeshughulikia masuala ya Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto),viongozi ambao aliwateua hivi karibuni kushika nyadhifa hizo. Viongozi walioapishwa hivi leo katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar ni Hassan Khatib Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hemed Suleiman Abdalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba na Mwanajuma Majid...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News