Rais Dk Shein alipowaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni Ikulu

 BAADHI ya Mawazirui wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Miko wa Kusini Unguja na Kusini na Pemba Ikulu Zanzibar leo.(Picha na Ikulu) MAKAMANDA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa wa Mikoa wa Kusini Unguja na Kusini Pemba leo Ikulu.(Picha na Ikulu) WATEULE wa Nafasi za Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Hassan Khatib Hassan na Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdallah na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mwanajuma Majid Abdallah wakipitia hati za kiapo kabla ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News